Showing 121 - 140 results of 2,092 for search 'Oahu~', query time: 1.04s Refine Results
  1. 121

    Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese. by Masereka, Elias Biseso

    Published 2024
    “…Utafiti huu uliongozwa na malengo kama vile kuchunguza mchakato wa maneno ya Kiswahili katika usafirishaji katika wilaya ya Kasese, kutathmini juhudi za maneno yanayohusiana na usafiri ndani ya Kiswahili katika wilaya ya Kasese, na kutathmini mapendekezo ya kukuza uunganishaji sawia wa msamiati unaohusiana na usafiri. katika Kiswahili wilayani Kasese. Utafiti ulitumia watu 40 kama saizi ya sampuli kutoka kwa watu 60 waliolengwa. …”
    Get full text
    Thesis
  2. 122
  3. 123

    Mcquail's media and mass communication theory / by McQuail, Denis, Deuze, Mark

    Published 2020
    View in OPAC
    Book
  4. 124

    Engineering Circuit Analysis / by Hayt, William H. (William Hart), Jr., 1920-1999

    Published 2012
    Table of Contents: “…Machine generated contents note: ch. 1 Introduction -- 1.1.Overview of Text -- 1.2.Relationship of Circuit Analysis to Engineering -- 1.3.Analysis and Design -- 1.4.Computer-Aided Analysis -- 1.5.Successful Problem-Solving Strategies -- Reading Further -- ch. 2 Basic Components And Electic Circuits -- 2.1.Units and Scales -- 2.2.Charge, Current, Voltage, and Power -- 2.3.Voltage and Current Sources -- 2.4.Ohm's Law -- Summary And Review -- Reading Further -- Exercises -- ch. 3 Voltage And Current Laws -- 3.1.Nodes, Paths, Loops, and Branches -- 3.2.Kirchhoffs Current Law -- 3.3.Kirchhoffs Voltage Law -- 3.4.The Single-Loop Circuit -- 3.5.The Single-Node-Pair Circuit -- 3.6.Series and Parallel Connected Sources -- 3.7.Resistors in Series and Parallel -- 3.8.Voltage and Current Division -- Summary And Review -- Reading Further -- Exercises -- ch. 4 Basic Nodal And Mesh Analysis -- 4.1.Nodal Analysis -- 4.2.The Supernode -- 4.3.Mesh Analysis -- 4.4.The Supermesh -- 4.5.Nodal vs. …”
    Publisher description
    Table of contents only
    View in OPAC
    Book
  5. 125

    Research methods in accounting / by Smith, Malcolm

    Published 2017
    View in OPAC
    Book
  6. 126

    What is Social Work? / by Horner, Nigel

    Published 2012
    View in OPAC
    Book
  7. 127

    Climate change and public health /

    Published 2015
    Table of Contents: “…Freyberg -- Disorders related to heat waves / Rupa Basu -- Respiratory and allergic disorders / Patrick L. …”
    Contributor biographical information
    Publisher description
    Table of contents only
    View in OPAC
    Book
  8. 128

    A History of East Africa / by Odhiambo,E.S.Atieno

    Published 1977
    View in OPAC
    Book
  9. 129

    Research Methods and Methodologies in Education /

    Published 2017
    View in OPAC
    Book
  10. 130

    Evidence-Based Practice in Nursing / by Ellis, Peter, 1969-

    Published 2016
    View in OPAC
    Book
  11. 131

    Changamoto Zinazokumba Wa Nafunzi Wa Vyuo Vya Juuwila Yani Kabale Nchiniuganda. by Ayebare, Rabecca

    Published 2024
    “…Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu za Utafiti.Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data, Uchambuzi wa Data na Vifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data na hatimaye, sura ya tano ni muhtasari, matokeo muhimu, na mapendekezo ya ufiti huu.…”
    Get full text
    Thesis
  12. 132

    KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO by AIDAH, MUTENYO

    Published 2020
    “…Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema;…”
    Get full text
    Article
  13. 133
  14. 134
  15. 135

    Dhima ya Methali Ktika Ukuzaji wa Nidhamu Baina ya Wanajamii Kijijini Bungandaro, Wila Yani Rubanda Nchini Uganda. by Atwiniramasiko, Ivan

    Published 2023
    “…Aidha, imeelezea yaliyoandikwa kuhusu makundi pamoja na uanisho wa methali katika hali au masuala tofauti tofauti. Kadhalika, sura ya pili irneelezea Pengo la Maarifa na Kiunzi cha utafiti wa awali pamoja na jinsi utafiti huu ulivyoziba kiunzi au pengo li'ilo. …”
    Get full text
    Thesis
  16. 136

    Dhia Ya Methali Ktika Ukuza.Ji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini BungandaroWilayanirubanda Nchini Uganda. by Atwinlramasiko, Ivan

    Published 2024
    “…Aidha, imeelezea yaliyoandikwa kuhusu makundi parnoja na uanisho wa methali katika hali au masuala tofauti tofauti. Kadhalika, sura ya pili imeelezea Pengo la Maarifa na Kiunzi cha utafiti wa awali pamoja na jinsi utafiti huu ulivyoziba kiunzi au pengo fiilo. …”
    Get full text
    Thesis
  17. 137
  18. 138

    Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili by David, Majariwa

    Published 2022
    “…Data zilizotumika zilipatikana kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu 2013 (KKS), Toleo la tatu. Nadharia ya Umbo Upeo sambamba na Nadharria ya fonolojia Amirifu zilitumiwa katika uchanganuzi wa data. …”
    Get full text
    Article
  19. 139
  20. 140