Published 2020
“…Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya
nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. …”
Get full text
Article