Suggested Topics within your search.
Suggested Topics within your search.
- Politics and government 9
- Management 8
- Swahili language 6
- Conservation of natural resources 5
- History 5
- Law 5
- Natural resources 5
- Economic conditions 4
- Economic development 4
- English language 4
- History and criticism 4
- Law reports, digests, etc 4
- Social conditions 4
- Civilization 3
- Economic aspects 3
- Environmental policy 3
- Ethics 3
- Information technology 3
- Philosophy 3
- Application software 2
- Appreciation 2
- Biology 2
- Colonial influence 2
- Computer-assisted instruction 2
- Dictionaries 2
- Economic policy 2
- Education, Elementary 2
- Educational technology 2
- Emotions 2
- Environmental economics 2
-
421
Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda.
Published 2024“…Wilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. …”
Get full text
Thesis -
422
Ebimera N'ebiti Omu Igomborora Rya Ikumba, Disiturikiti Ya Rubanda, Uganda, N'endwara Ezi Birikutamba.
Published 2024“…Obwahati, obukaikuru bw'abantu omu nsi yoona nibarya ninga bakozesa ebimera nk'ebyokurya, okwombeka oburaaro, okukora ebijwaro, emibazi kandi hamwe n'ebindi bintu bitari bimwe na bimwe. Ebimera ebingi biine omugasho omu nsi egi, beitu hariho ebyo ebiine omugasho kwonka abantu batarikubimanya. …”
Get full text
Thesis -
423
Uchanganuzi Wa Utabaka Katika Tamthilia Ya Kilio Cha Haki Ya Alamin Mazrul.
Published 2024“…Suala la utafiti huu lilikuwa: Watu katika jamii nyingi hasa hasa za kiafrika huathirika sana na athari za matabaka. Kwa sababu katikajamii nyingi kuna makabaila, kuna wale ambao waweza afadhali kukidhi mahitaji yao na kuna wale ambao hawajiwezi kabisa . …”
Get full text
Thesis -
424
Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
Published 2024“…Mbinu za mahojiano, usomaji na usaili kukusanya data. K.upitia kwa vifaa vya hojaji na usaili wa moja kwa moja pamoja na usomaji. …”
Get full text
Thesis -
425
Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
Published 2024“…Matini yoyote ya fasihi huhitaji kusomwa na kueleweka iii ipate kuwa na maana. Hata hivyo, kueleweka kwa matini hujitokeza ikiwa msomaji ataelewa mtindo uliotumika. …”
Get full text
Thesis -
426
Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.
Published 2024“…Kusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. …”
Get full text
Thesis -
427
Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese.
Published 2024“…Utafiti huu uliongozwa na malengo kama vile kuchunguza mchakato wa maneno ya Kiswahili katika usafirishaji katika wilaya ya Kasese, kutathmini juhudi za maneno yanayohusiana na usafiri ndani ya Kiswahili katika wilaya ya Kasese, na kutathmini mapendekezo ya kukuza uunganishaji sawia wa msamiati unaohusiana na usafiri. katika Kiswahili wilayani Kasese. …”
Get full text
Thesis -
428
Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara.
Published 2024“…Mkusanyiko huo wa watu unakuwa na utamaduni wake, unaodhihirika katika mila na desturi na mielekeo fulani ya kimaisha.…”
Get full text
Thesis -
429
Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese.
Published 2024“…Utafiti huu uliongozwa na malengo kama vile kuchunguza mchakato wa maneno ya Kiswahili katika usafirishaji katika wilaya ya Kasese, kutathmini juhudi za maneno yanayohusiana na usafiri ndani ya Kiswahili katika wilaya ya Kasese, na kutathmini mapendekezo ya kukuza uunganishaji sawia wa msamiati unaohusiana na usafiri. katika Kiswahili wilayani Kasese. …”
Get full text
Thesis -
430
Changamoto Za Mtalaa Mpya Katika Ufundishaji Wa Lugha Ya Kiswahili Kwa Walimu Shule Za Upili, Wilayani Kasese.
Published 2024“…Utafiti huu ulitazamia kushughulikia changamoto za mtalaa mpya katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha Kiswahili kwa walimu wa shule za upili wilayani kasese. …”
Get full text
Thesis -
431
Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
Published 2024“…Utafiti huu ulihusu Uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya Wanyankore na katika tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. …”
Get full text
Thesis -
432
Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
Published 2024“…Lugha ya Kiswahili ni lugha yenye muundo wa kitenzi kati yaani, katika sentensi ni lazima kuwe na viambajengo kabla au baada ya kitenzi ambavyo vinaweza kuwa dhahiri au visiwe dhahiri. …”
Get full text
Article -
433
Upokeaji na Ukubalifu wa Vitamkwa vya Kiarabu na Kiingereza katika Fonolojia ya Kiswahili
Published 2022Subjects: “…Upokeaji na Ukubalifu wa Vitamkwa vya Kiarabu na Kiingereza…”
Get full text
Article -
434
Upenyezaji na Ukubalifu wa Mkururo wa Konsonanti katika Fonolojia ya Kiswahili: Mifano katika Maneno Yaliyopokelewa kutoka Kiingereza na Kiarabu
Published 2022Subjects: “…Upenyezaji na Ukubalifu wa Mkururo wa Konsonanti katika Fonolojia ya Kiswahili…”
Get full text
Article -
435
Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
Published 2022“…Matokeo yanaonesha kuwa upangiliaji upya wa mashartizuizi unaeleza upenyezaji wa silabi funge katika Kiswahili na ukubalifu wa silabi funge hizo umeelezwa na fonolojia Amirifu. …”
Get full text
Article