Showing 1,061 - 1,080 results of 1,098 for search 'NPR~', query time: 1.19s Refine Results
  1. 1061
  2. 1062

    Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora. by Nuwamanya, Levinari

    Published 2024
    “…Msanii yeyote anapokata shauri kuchagua vipengele fulani vya kisanaa sharti viweze kuvutia hadhira, kuchokonoa na kuathiri hisia zao. Mtindo unakuwa ni kigezo cha kupimia kufaulu au kutofaulu kwa msanii katika usanii wake. …”
    Get full text
    Thesis
  3. 1063
  4. 1064
  5. 1065

    Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda. by Natushemereirwe, John

    Published 2024
    “…Kusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. …”
    Get full text
    Thesis
  6. 1066

    Investigation of the Content and Dynamics of Nutrients in the Surface Water of Lake Mulehe in Kisoro District, South-Western Uganda by Saturday, Alex PhD

    Published 2024
    “…Results indicated that nutrients (TN, NO3–N, TP, NH4-N, NO2–N and SRP) did not differ substantially between study stations (p > 0.05) but did reveal significant differences (p < 0.05) across study months. …”
    Get full text
    Other
  7. 1067

    A Call-To-Action: Integrate A Learning Health System Framework into Longitudinal Population Studies to Improve Health Response in Africa. by Kadengye, Damazo T., Kiragga, Agnes N.

    Published 2024
    “…This is a call-to-action opinion and highlights the importance of integrating an LHS approach into LPSs, emphasizing their transformative potential to improve population health response, drive evidence-based decision-making, and enhance community well-being. Operators of LPS platforms, community members, government officials, and funding agencies have a role to contribute to this transformative journey of driving evidence-based interventions, promoting health equity, and fostering long-term public health solutions for African communities.…”
    Get full text
    Article
  8. 1068

    Optimization of Soursop (Annona Muricata L.) Leaf Extract in Nanoemulgel And Antiacnes Activity Test Against Propionibacterium Acnes, Staphylococcus Aureus, Staphylococcus Epidermi... by Asyhari, Hanif Fibiana, Cabral, Kibedi B., Wikantyasning, Erindyah R.

    Published 2024
    “…Evaluation of nanoemulgel physical properties showed homogeneous, pH value of 5.83±0.24, spreadability of 5.57±0.25cm, the adhesive force of 3.80±0.25 seconds, viscosity of 11479.33±167.49 cP, antibacterial activity against P.acnes, Staphylococcus aureus, and Staphylococcus epidermidis with inhibition zone diameters of 9.67±0.47 mm, 7.33±0.47 mm, and 5.67±0.47 mm. respectively. …”
    Get full text
    Article
  9. 1069

    Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese. by Masereka, Elias Biseso

    Published 2024
    “…Utangamano huu ni mfano halisi wa jinsi Kiswahili, kama lugha inayozungumzwa na watu wengi katika Afrika Mashariki, kinavyoendelea kupenyeza nyanja mbalimbali za maisha ya kila siku, ikiwa ni pamoja na usafiri. …”
    Get full text
    Thesis
  10. 1070

    Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. by Turinawe, James

    Published 2024
    “…Tamthilia Wamitila, (2002) katika Uhakiki wa fasihi ameeleza kuwa, neno tamthiliya kwa upana wake linatumiwa kujumuisha maneno drama na play ya Kiingereza. Kwa hiyo, tamthiliya ni utungo unaoandikwa kwa mtindo wa mazungumzo. …”
    Get full text
    Thesis
  11. 1071

    Effect of Vigorous-Intensity Physical Activity on Incident Cognitive Impairment in High-Risk Hypertension. by Kazibwe, Richard, Schaich, Christopher L., Muhammad, Ahmad Imtiaz, Epiu, Isabella, Namutebi, Juliana H., Chevli, Parag A., Kazibwe, Joseph, Hughes, Timothy, Rikhi, Rishi R., Shapiro, Michael D., Yeboah, Joseph

    Published 2024
    “…Results: Participants in the high VPA category, compared with low VPA, experienced lower events rates (per 1000 person-years) of MCI (13.9 vs 19.7), probable dementia (6.3 vs 9.0), and MCI/probable dementia (18.5 vs 25.8). …”
    Get full text
    Article
  12. 1072

    Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese. by Masereka, Elias Biseso

    Published 2024
    “…Utangamano huu ni mfano halisi wa jinsi Kiswahili, kama lugha inayozungumzwa na watu wengi katika Afrika Mashariki, kinavyoendelea kupenyeza nyanja mbalimbali za maisha ya kila siku, ikiwa ni pamoja na usafiri. …”
    Get full text
    Thesis
  13. 1073
  14. 1074

    Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi. by Akampamya, Mauricia

    Published 2024
    “…Matokeo ni kwamba Jamii ya Wanyakore mwanamke anadunishwa ingawa kwa upande mdogo anakweza, pili yalionyesha kwamba mwanamke katika Tamthilia ya Mama ee anatwezwa kwa upande mkubwa.Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine zifanywe kuhusu suala hili kwa kuangazia tamthilia,riwaya,diwani na tungo nyingine za kifasihi ili kuwepo uelewekaji wake zaidi.…”
    Get full text
    Thesis
  15. 1075

    Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi. by Ainebyoona, Olivia

    Published 2024
    “…Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. …”
    Get full text
    Thesis
  16. 1076
  17. 1077
  18. 1078

    KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO by AIDAH, MUTENYO

    Published 2020
    “…Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. …”
    Get full text
    Article
  19. 1079

    On the structure of quasi-Keplerian accretion discs surrounding millisecond X-ray pulsars by Isaac, Habumugisha, Solomon, B. Tessema, Edward, Jurua, Simon, K. Anguma

    Published 2020
    Subjects: “…97.80.Jp X-ray binaries—97.60.Gb pulsars—97.10.Gz accretion and accretion discs…”
    Get full text
    Article
  20. 1080