Showing 801 - 820 results of 2,994 for search 'Hutu~', query time: 1.03s Refine Results
  1. 801

    On a Certain Lithuanian Purpose Clause Construction by Axel Holvoet

    Published 2024-04-01
    “…It is argued that the anteriority converb was introduced as a pseudo-conditional strategy used to avoid a factive reading in constructions with evaluative predicates (as in gerai būtų suradus... = gerai būtų, jeigu surastume... …”
    Get full text
    Article
  2. 802

    Dhima ya Methali Ktika Ukuzaji wa Nidhamu Baina ya Wanajamii Kijijini Bungandaro, Wila Yani Rubanda Nchini Uganda. by Atwiniramasiko, Ivan

    Published 2023
    “…Basi, makundi haya yote hukuza na kutimiza swala la nidhamu baina ya wanajamii. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. …”
    Get full text
    Thesis
  3. 803

    Dhia Ya Methali Ktika Ukuza.Ji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini BungandaroWilayanirubanda Nchini Uganda. by Atwinlramasiko, Ivan

    Published 2024
    “…Basi, makundi haya yote hukuza na kutimiza swala la nidhamu baina ya wanajamii. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. …”
    Get full text
    Thesis
  4. 804
  5. 805

    Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore. by Ainembabazi, Abia

    Published 2024
    “…Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. …”
    Get full text
    Thesis
  6. 806
  7. 807

    Uchanganuzi Wa Utabaka Katika Tamthilia Ya Kilio Cha Haki Ya Alamin Mazrul. by Tayebwa, Novias

    Published 2024
    “…Suala la utafiti huu lilikuwa: Watu katika jamii nyingi hasa hasa za kiafrika huathirika sana na athari za matabaka. …”
    Get full text
    Thesis
  8. 808

    Changamoto Za Mtalaa Mpya Katika Ufundishaji Wa Lugha Ya Kiswahili Kwa Walimu Shule Za Upili, Wilayani Kasese. by Biira, Janet

    Published 2024
    “…Utafiti huu ulitazamia kushughulikia changamoto za mtalaa mpya katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha Kiswahili kwa walimu wa shule za upili wilayani kasese. …”
    Get full text
    Thesis
  9. 809

    Changamoto Zinazokumba Wa Nafunzi Wa Vyuo Vya Juuwila Yani Kabale Nchiniuganda. by Ayebare, Rabecca

    Published 2024
    “…Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu za Utafiti.Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data, Uchambuzi wa Data na Vifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data na hatimaye, sura ya tano ni muhtasari, matokeo muhimu, na mapendekezo ya ufiti huu.…”
    Get full text
    Thesis
  10. 810

    Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nc... by Natushemereirwe, John

    Published 2024
    “…Kusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. …”
    Get full text
    Thesis
  11. 811

    Subjectivity and Perspective in Truth-Theoretic Semantics / by Lasersohn, Peter

    Published 2017
    Table of Contents:
    View in OPAC
    Book
  12. 812

    Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore. by Nsimamukama, Mariseera

    Published 2024
    “…Mada kuu ya utafiti huu ilikuwa Uchanganuzi wa athari za kifonolojia zinazojidhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. …”
    Get full text
    Thesis
  13. 813

    Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese. by Baluku, Joel

    Published 2025
    “…Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, kategoria za sababu za makosa ya upatanisho wa kisarufi pia yalibainishwa na hatua za kukabiliana na makosa hayo. Matokeo ya utafiti huu yalionesha kuwepo kwa makosa ya upatanisho wa kisarufi katika kazi andishi na zungumshi za wanafunzi wa shule za upili wanaojifunza lugha ya Kiswahili hasa kutokana na harakati na jitihada za kujifunza. …”
    Get full text
    Thesis
  14. 814

    Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri. by Mpobwengye, Horeb

    Published 2025
    “…Kwa kawaida wanafunzi huwa hawalazimishwi kuchukua masomo fulani. Kila mwanafunzi huwa na uhuru wa kuchagua masomo anayoyapenda. …”
    Get full text
    Thesis
  15. 815

    Perancangan Sistem Automatic Indikator Rumah Sakit menggunakan Metode Agile guna Menunjang Rekam Medis Elektronik by Hafifah Ismayati, Yuda Syahidin, Yuyun Yunengsih

    Published 2024-07-01
    “…Indikator rumah sakit merupakan faktor penentu dalam penilaian suatu rumah sakit. Mutu rumah sakit dapat dilihat dari produktivitas pelayanan yang meliputi aspek medis, administrasi, informasi, dan manajemen. …”
    Get full text
    Article
  16. 816

    Mchango Wa Methali Za Kiswahili Katika Kukuza Umilisi Wa Lugha Ya Kiswahili Kwa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Wilayani Ntungamo. by Katsigaire, Joshua

    Published 2024
    “…Utafiti mwingine wa kina kiwango cha Umahiri unapendekezwa kufanywa ili kupata michango mbali mbali nyingine ya methali za Kiswahili zinazokuza umilisi wa lugha ya Kiswahili .Ni imani yetu kwamba, tulichokipata uwandani kinaweza kuwa ni fununu tu juu ya mambo mengi yalifichama katika methali za Kiswahili. …”
    Get full text
    Thesis
  17. 817

    Revitalizing Customary Law: Reforming Buffalo Farming Practices (Jalangan) in Menaming Village for Sustainable Governance by Hayatul Ismi, Ulfia Hasanah, Nofrizal Nofrizal, Izawati Wook

    Published 2024-12-01
    “…This research investigates the revitalization of customary law in buffalo farming practices (Jalangan) in Menaming Village, Rokan Hulu, with the aim of fostering sustainable governance and agriculture. …”
    Get full text
    Article
  18. 818

    Uchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga. by Kyomuhendo, Susan

    Published 2025
    “…Wanafunzi walihakikisha kuwa hawakuwa na vitabu vya kurejelea walipoambiwa kufanya uchunguzi huu na kwa hivyo, kulikuwa haja ya tafiti kama hizi kufanywa na baadaye vitabu kuandikwa kusaidia watu kuelewa na kujifuza lugha zao.…”
    Get full text
    Thesis
  19. 819

    Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo. by Ithungu, Roseline

    Published 2024
    “…Kwa kutumia njia ya mahojiano, sampuli ya wazee ishirini (20) wenye umri wa miaka hamsini hadi juu ilitumiwa ili kufikia lengo la kwanza la pili na la tatu. …”
    Get full text
    Thesis
  20. 820

    Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia. by Turigye, Rosemary

    Published 2025
    “…Utafiti huu unahusu dosari za kifonolojia zinazojitokeza miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili katika jamii ya Kichiga. …”
    Get full text
    Thesis