Showing 41 - 60 results of 94 for search 'Havana~', query time: 1.41s Refine Results
  1. 41
  2. 42
  3. 43
  4. 44
  5. 45
  6. 46
  7. 47
  8. 48
  9. 49

    Dhia Ya Methali Ktika Ukuza.Ji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini BungandaroWilayanirubanda Nchini Uganda. by Atwinlramasiko, Ivan

    Published 2024
    “…Aid ha utafiti huu umeziainisha methali katika makundi matatu makuu, yaani uainishaji huu hutegemea maana ya ndani pamoja na maana ya nje na walengwa wa methali husika. …”
    Get full text
    Thesis
  10. 50
  11. 51
  12. 52
  13. 53

    KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO by AIDAH, MUTENYO

    Published 2020
    “…Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema;…”
    Get full text
    Article
  14. 54

    Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''. by Masika, Doreen

    Published 2023
    “…K wa kawaida kiza hujitokeza wakati wa usiku lakini siyo wakati wa mchana kwa hivyo kiza kikijitokeza mchana kuna maana kwamba kuna kitu ambacho hakiko sawa. Mtu yeyote azaliwapo huwa anatarajia mema na ufanisi katika maisha yake lakini baadhi ya watu duniani na katika nchi hii, matarajio yao hugeuka ndoto ya mchana yaani huishia yakiwa kinyume kabisa na matarajio ya watu hawa. …”
    Get full text
    Thesis
  15. 55
  16. 56
  17. 57
  18. 58
  19. 59
  20. 60