Showing 41 - 60 results of 94 for search 'Haifa~', query time: 1.19s Refine Results
  1. 41
  2. 42
  3. 43
  4. 44
  5. 45

    Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''. by Masika, Doreen

    Published 2023
    “…Mazungumzo yataendelezwa miongoni mwa wahusika hawa ambapo nafsi ya kwanza umoja (ni ) na wingi ( tu ) zitatumika hasa kuendeleza mazungumzo baina ya wahusika. …”
    Get full text
    Thesis
  6. 46

    Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili by David, Majariwa

    Published 2022
    “…Makala haya yanachunguza ukubalifu wa silabi funge katika fonolojia ya Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Kiarabu na Kiingereza. …”
    Get full text
    Article
  7. 47

    Uvulivuli wa Tafsriri kutoka Lugha za Asili kwenda Lugha ya Kiswahili Mfano wa Albamu ya Kikinga ya Sumasesu Theatre Art Group. by Msigwa, Arnold B. G.

    Published 2024
    “…Chukulia94 ikiwa ni kwamba uvulivuli huo unatokana na wafasiri kutokuwa na umilisi wa lugha za kigeni hasa Kiingereza, na ama tofauti za kiutamaduni baina ya lugha mbili; yaani matini chanzi na matini lengwa. …”
    Get full text
    Article
  8. 48

    Mchan Go Wa Utenzi Wa Mw Anakupona Ka Tika Ukuzaji Na Uendelezaji Wa Lugha Ya Kiswahili Miongoni Mwa Vijana Wa Leo Nchini Uganda. by Kobusingye, Eudia

    Published 2024
    “…Utenzi wa mwanakupona ni utenzi ambao umekuwa unarejelewa na wasomi au hata na jamii nzima kwa haja ya kurekebisha nidhamu za kijamii au hata na utunzi wa ndoa za kawaida, Lugha ya kiswahili chini Uganda. …”
    Get full text
    Thesis
  9. 49

    Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. by Turinawe, James

    Published 2024
    “…Kwa hiyo,kwa maoni yetu, ni sawa kabisa kufasili Jamii kama mkusanyiko au kundi la watu waliokusanyika sehemu fulani kama kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda na taifa. Watu hawa huishi kama wamoja, na wenye kufuata utaratibu au kanuni fulani za kimaisha walizojiwekea wao wenyewe. …”
    Get full text
    Thesis
  10. 50

    Upenyezaji na Ukubalifu wa Mkururo wa Konsonanti katika Fonolojia ya Kiswahili: Mifano katika Maneno Yaliyopokelewa kutoka Kiingereza na Kiarabu by David, Majariwa

    Published 2022
    “…Makala haya yanachunguza jinsi mikururo ya konsonanti [Skr-]/[Sk-], [Spr-]/[Sp-], na [Str-]/[St-] ilivyopokelewa katika fonolojia ya Kiswahili kutoka Kiarabu na Kiingereza. …”
    Get full text
    Article
  11. 51

    Nafasi ya Leksikoni yenye Vipashio Ghairi kutoka Kiingereza na Kiarabu katika Fonolojia ya Leksikoni ya Kiswahili Sanifu by David, Majariwa

    Published 2023
    “…Makala haya yanahusu ubainishaji wa nafasi ya leksikoni ya mkopo yenye vipashio ghairi katika leksikoni ya Kiswahili sanifu. …”
    Get full text
    Article
  12. 52

    Cry, the beloved country by Paton Alan

    Published 1990
    Table of Contents: “…Emaxambeni -- Hamba notsokolo -- Amazing grace.…”
    View in OPAC
    Cassette Audio
  13. 53

    Uchanganuzi Wa Utabaka Katika Tamthilia Ya Kilio Cha Haki Ya Alamin Mazrul. by Tayebwa, Novias

    Published 2024
    “…Suala la utafiti huu lilikuwa: Watu katika jamii nyingi hasa hasa za kiafrika huathirika sana na athari za matabaka. …”
    Get full text
    Thesis
  14. 54

    Improving online teaching: practical guide for quality online education/

    Published 2022
    View in OPAC
    Book
  15. 55

    Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira. by Sunday, Emmanuel

    Published 2023
    “…Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni kubainisha athari za maumbo ya Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Hata hivyo, malengo mahususi ya uchunguzi huu, yalikuwa ni pamoja na Kutambua jinsi athari za maumbo ya zinazvyojitokeza baina ya Kiswahili na Lufumbira, lengo la pili lilikuwa ni Kubainisha njia za kukabiliana na athari za Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. …”
    Get full text
    Thesis
  16. 56

    Mtazamo wa Umma Katika Ulazimishaji wa Ufundishaji wa Lug Hay a Kiswahili Nchini Uganda Tukilenga Wila Yaya Kasese ka Tika Tarafa ya Bwera. by Biira, Felistus

    Published 2023
    “…Sura ya pili iliundwa na maandishi ya wataalamu pamoja na watafiti wengine, maoni haya ni yale ambayo yanahusiana na mada ya utafiti huu.Hata hivyo, maoni hayo yalikuwa na mchango mkubwa katika utafiti huu, ila 'yalikuwa na pengo zilizozibwa katika utafiti huu jvetu uliohusu mtazamo wa umma katika ulazimishaji wa ufundishaji wa lugha ya Kiswahili nchiniUganda tukilenga wilaya ya Kasese katika tarafa ya Bwera. …”
    Get full text
    Thesis
  17. 57

    Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili. by Amanzi, Musa .O.

    Published 2024
    “…Data za makala haya zilipatikana uwandani kupitia mbinu ya ushuhudiaji sikizi na mahojiano. …”
    Get full text
    Article
  18. 58

    Upokeaji na Ukubalifu wa Vitamkwa vya Kiarabu na Kiingereza katika Fonolojia ya Kiswahili by David, Majariwa

    Published 2022
    “…Vitamkwa vilivyopokelewa vilikubalika katika mfumo wa orodha ya konsonanti za Kiswahili kwa kuzingatia msingi wa iktisadi ya sifa na mvutano pande mbili. Vitamkwa hivyo vilipokelewa kutokana na kuwapo kwa mapengo ya vitamkwa hivyo katika orodha ya vitamkwa vya Kiswahili.…”
    Get full text
    Article
  19. 59

    Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora. by Nuwamanya, Levinari

    Published 2024
    “…Matini yoyote ya fasihi huhitaji kusomwa na kueleweka iii ipate kuwa na maana. Hata hivyo, kueleweka kwa matini hujitokeza ikiwa msomaji ataelewa mtindo uliotumika. …”
    Get full text
    Thesis
  20. 60

    Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda. by Owoyesiga, Nichorus

    Published 2024
    “…Wilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. …”
    Get full text
    Thesis