Mtazamo wa Umma Katika Ulazimishaji wa Ufundishaji wa Lug Hay a Kiswahili Nchini Uganda Tukilenga Wila Yaya Kasese ka Tika Tarafa ya Bwera.
Utafiti huu ulishughulikia Mtazamo wa umma katika ulazimishaji wa ufundishaji wa lugha ya Kiswahili nchiniUganda tukilenga wilaya ya Kasese katika tarafa ya Bwera. Utafiti huu ulikuwa na lengo kuu ambalo lilikuwa ni kubainisha mtazamo wa umma katika ulazimishaji wa ufundishaji wa lugha ya Kiswahili...
Saved in:
Main Author: | |
---|---|
Format: | Thesis |
Language: | en_US |
Published: |
Kabale University
2023
|
Subjects: | |
Online Access: | http://hdl.handle.net/20.500.12493/996 |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|
Be the first to leave a comment!