Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.

Uchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni kubainisha athari za maumbo ya Kiswahili kati...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Sunday, Emmanuel
Format: Thesis
Language:en_US
Published: 2023
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/982
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1803933476160798720
author Sunday, Emmanuel
author_facet Sunday, Emmanuel
author_sort Sunday, Emmanuel
collection KAB-DR
description Uchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni kubainisha athari za maumbo ya Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Hata hivyo, malengo mahususi ya uchunguzi huu, yalikuwa ni pamoja na Kutambua jinsi athari za maumbo ya zinazvyojitokeza baina ya Kiswahili na Lufumbira, lengo la pili lilikuwa ni Kubainisha njia za kukabiliana na athari za Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Utafiti huu ulitumia mbinu ya hojaji, matumizi ya maktaba pamoja na mahojiano. Hojaji ilitumiwa kwa kuandika maswali kwenye makaratasi na kuyapelekeya watafitiwa. Matumizi ya maitaba ni mbinu nyingine iliyotumiwa katik kukusanya data, makala ya watafiti wa awali yalisomwa moja kwa moja kwa kulingana namalengo ya utafiti. Mbinu nyingine ni mahojiano, pia katika utafiti huu tulitumia mazungumzo ya ana kwa ana huku tukifanya maakisio na malengo ya utafiti huu. Keywords: Athari, Maumbo, Lugha, Kiswahili Katika Msamia Ti, Lugha, Lufumbira.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-982
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2023
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-9822024-06-12T07:24:42Z Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira. Sunday, Emmanuel Athari Maumbo Lugha Kiswahili Katika Msamia Lugha Lufumbira Uchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni kubainisha athari za maumbo ya Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Hata hivyo, malengo mahususi ya uchunguzi huu, yalikuwa ni pamoja na Kutambua jinsi athari za maumbo ya zinazvyojitokeza baina ya Kiswahili na Lufumbira, lengo la pili lilikuwa ni Kubainisha njia za kukabiliana na athari za Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Utafiti huu ulitumia mbinu ya hojaji, matumizi ya maktaba pamoja na mahojiano. Hojaji ilitumiwa kwa kuandika maswali kwenye makaratasi na kuyapelekeya watafitiwa. Matumizi ya maitaba ni mbinu nyingine iliyotumiwa katik kukusanya data, makala ya watafiti wa awali yalisomwa moja kwa moja kwa kulingana namalengo ya utafiti. Mbinu nyingine ni mahojiano, pia katika utafiti huu tulitumia mazungumzo ya ana kwa ana huku tukifanya maakisio na malengo ya utafiti huu. Keywords: Athari, Maumbo, Lugha, Kiswahili Katika Msamia Ti, Lugha, Lufumbira. 2023-02-08T05:34:06Z 2023-02-08T05:34:06Z 2021 Thesis http://hdl.handle.net/20.500.12493/982 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf
spellingShingle Athari
Maumbo Lugha Kiswahili
Katika Msamia
Lugha Lufumbira
Sunday, Emmanuel
Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
title Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
title_full Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
title_fullStr Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
title_full_unstemmed Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
title_short Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
title_sort athari ya maumbo ya lugha ya kiswahili katika msamia ti wa lugha ya lufumbira
topic Athari
Maumbo Lugha Kiswahili
Katika Msamia
Lugha Lufumbira
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/982
work_keys_str_mv AT sundayemmanuel athariyamaumboyalughayakiswahilikatikamsamiatiwalughayalufumbira