Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili

Makala haya yanachunguza ukubalifu wa silabi funge katika fonolojia ya Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Kiarabu na Kiingereza. Tafiti kadhaa zilibainisha uchopezi wa irabu baada ya konsonanti funge kuwa ni mkakati wa urekebishaji unaotumiwa sana katika upokeaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: David, Majariwa
Format: Article
Published: Mwanga wa Lugha 2022
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/619
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1800403071243649024
author David, Majariwa
author_facet David, Majariwa
author_sort David, Majariwa
collection KAB-DR
description Makala haya yanachunguza ukubalifu wa silabi funge katika fonolojia ya Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Kiarabu na Kiingereza. Tafiti kadhaa zilibainisha uchopezi wa irabu baada ya konsonanti funge kuwa ni mkakati wa urekebishaji unaotumiwa sana katika upokeaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili ili kuondoa silabi funge. Hata hivyo silabi funge zimebainika katika fonolojia ya Kiswahili. Kutokana na msingi kuwa mifumo ya fonolojia ya lugha hufikiriwa kuwa thabiti zaidi dhidi ya mabadiliko, kuna haja ya kuchunguza ukubalifu wa silabi funge hizo katika fonolojia ya Kiswahili. Data zilizotumika zilipatikana kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu 2013 (KKS), Toleo la tatu. Nadharia ya Umbo Upeo sambamba na Nadharria ya fonolojia Amirifu zilitumiwa katika uchanganuzi wa data. Matokeo yanaonesha kuwa upangiliaji upya wa mashartizuizi unaeleza upenyezaji wa silabi funge katika Kiswahili na ukubalifu wa silabi funge hizo umeelezwa na fonolojia Amirifu. Uelekeo wa watumiaji wa lugha ya Kiswahili kutumia nguvu kwa uwekevu katika matumizi ya ala za matamshi umesababisha fonolojia ya Kiswahili kuzuia uchopezi wa irabu katika upokeaji wa maneno yenye silabi funge kutoka Kiingereza na Kiarabu.
format Article
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-619
institution KAB-DR
publishDate 2022
publisher Mwanga wa Lugha
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-6192024-01-17T04:44:32Z Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili David, Majariwa Ukubalifu, Uwekevu wa nguvu, Umbo Upeo, Ufonolojishaji Makala haya yanachunguza ukubalifu wa silabi funge katika fonolojia ya Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Kiarabu na Kiingereza. Tafiti kadhaa zilibainisha uchopezi wa irabu baada ya konsonanti funge kuwa ni mkakati wa urekebishaji unaotumiwa sana katika upokeaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili ili kuondoa silabi funge. Hata hivyo silabi funge zimebainika katika fonolojia ya Kiswahili. Kutokana na msingi kuwa mifumo ya fonolojia ya lugha hufikiriwa kuwa thabiti zaidi dhidi ya mabadiliko, kuna haja ya kuchunguza ukubalifu wa silabi funge hizo katika fonolojia ya Kiswahili. Data zilizotumika zilipatikana kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu 2013 (KKS), Toleo la tatu. Nadharia ya Umbo Upeo sambamba na Nadharria ya fonolojia Amirifu zilitumiwa katika uchanganuzi wa data. Matokeo yanaonesha kuwa upangiliaji upya wa mashartizuizi unaeleza upenyezaji wa silabi funge katika Kiswahili na ukubalifu wa silabi funge hizo umeelezwa na fonolojia Amirifu. Uelekeo wa watumiaji wa lugha ya Kiswahili kutumia nguvu kwa uwekevu katika matumizi ya ala za matamshi umesababisha fonolojia ya Kiswahili kuzuia uchopezi wa irabu katika upokeaji wa maneno yenye silabi funge kutoka Kiingereza na Kiarabu. Kabale University 2022-05-10T08:45:38Z 2022-05-10T08:45:38Z 2021 Article 2412 - 6993 http://hdl.handle.net/20.500.12493/619 application/pdf Mwanga wa Lugha
spellingShingle Ukubalifu, Uwekevu wa nguvu, Umbo Upeo, Ufonolojishaji
David, Majariwa
Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
title Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
title_full Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
title_fullStr Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
title_full_unstemmed Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
title_short Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
title_sort ukubalifu wa silabi funge katika fonolojia ya kiswahili
topic Ukubalifu, Uwekevu wa nguvu, Umbo Upeo, Ufonolojishaji
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/619
work_keys_str_mv AT davidmajariwa ukubalifuwasilabifungekatikafonolojiayakiswahili