KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO

Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: AIDAH, MUTENYO
Format: Article
Language:en_US
Published: 2020
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/455
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1800403073111162880
author AIDAH, MUTENYO
author_facet AIDAH, MUTENYO
author_sort AIDAH, MUTENYO
collection KAB-DR
description Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema;
format Article
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-455
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2020
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-4552024-01-17T04:45:26Z KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO AIDAH, MUTENYO Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema; Kabale University 2020-11-17T12:38:37Z 2020-11-17T12:38:37Z 2020 Article http://hdl.handle.net/20.500.12493/455 en_US application/pdf
spellingShingle AIDAH, MUTENYO
KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
title KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
title_full KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
title_fullStr KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
title_full_unstemmed KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
title_short KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
title_sort kiswahili na maendeleo ya kilimo
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/455
work_keys_str_mv AT aidahmutenyo kiswahilinamaendeleoyakilimo