Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.

Katika Tasnifu, mtafiti anaeleza visababishi vya idadi kubwa ya wanafunzi katika shule za upili nchini Uganda kutochukua somo la Kiswahili. Wakati wa kupunguza idadi ya masomo kwa kila mwanafunzi unapofika, wanafunzi huwa na sababu za kimsingi zinazowafanya wapendelee masomo fulani na kuyakataa meng...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Mpobwengye, Horeb
Format: Thesis
Language:other
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2838
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844182993666048
author Mpobwengye, Horeb
author_facet Mpobwengye, Horeb
author_sort Mpobwengye, Horeb
collection KAB-DR
description Katika Tasnifu, mtafiti anaeleza visababishi vya idadi kubwa ya wanafunzi katika shule za upili nchini Uganda kutochukua somo la Kiswahili. Wakati wa kupunguza idadi ya masomo kwa kila mwanafunzi unapofika, wanafunzi huwa na sababu za kimsingi zinazowafanya wapendelee masomo fulani na kuyakataa mengine. Kwa kawaida wanafunzi huwa hawalazimishwi kuchukua masomo fulani. Kila mwanafunzi huwa na uhuru wa kuchagua masomo anayoyapenda. Imebainika wazi kuwa nchini Uganda, wakati wa wanafunzi kupunguza idadi ya masomo unapofika, wengi wao huwa wanaacha somo la Kiswahili. Katika darasa la wanafunzi mia moja, ni wanafunzi kumi au kumi na watano tu ndio wanachukua Kiswahili. Hali hii inatisha sana hasa kwa wapenzi wa Kiswahili. Hivyo basi, mtafiti aliendeleza utafiti huu ili kueleza sababu zinazopelekea wanafunzi kufanya hivyo. Dhamira ya utafiti ni kueleza bayana kwa nini wanafunzi wengi nchini Uganda huwa hawachukui somo la Kiswahili katika kiwango cha “A”. Madhumuni ya utafiti huu ni kueleza mielekeo ya wanafunzi wa shule za sekondari nchini Uganda dhidi ya ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili na Kupendekeza njia mbalimbali za kuondokana na sababu za kuwapo kwa wanafunzi wachache wanaolichagua somo la kiswahili katika kiwango cha “A” katika shule za upili wilayani Rukungiri. Katika kazi hii, mkabala wa utafiti ulikuwa wa nyanjani. Kwa kutumia mkabala huu, mtafiti alizuru nyanjani na kuendeleza mahojiano na wahojiwa wake. Utafiti huu umeonyesha kuwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini Uganda huwa hawapendelei somo la Kiswahili kwa sababu zifuatazo: kuwepo na sera mbovu nchini kuhusu lugha ya Kiswahili; wanafunzi kutokuwa na msingi wa lugha ya Kiswahili; wanafunzi kuwa na fikra potovu kuwa Kiswahili ni lugha ya wezi; wanafunzi kufikiria kuwa Kiswahili ni somo linalofaa wenzao kutoka Kenya na Uganda; wanafunzi kufikiria kuwa lugha ya Kiswahili ni ngumu;
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2838
institution KAB-DR
language other
publishDate 2025
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-28382025-01-18T00:00:34Z Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri. Mpobwengye, Horeb Uchunguzi Sababu Kuwapo Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo Kiswahili Kiwango Nchini Uganda Shule Wilayani Rukungiri Katika Tasnifu, mtafiti anaeleza visababishi vya idadi kubwa ya wanafunzi katika shule za upili nchini Uganda kutochukua somo la Kiswahili. Wakati wa kupunguza idadi ya masomo kwa kila mwanafunzi unapofika, wanafunzi huwa na sababu za kimsingi zinazowafanya wapendelee masomo fulani na kuyakataa mengine. Kwa kawaida wanafunzi huwa hawalazimishwi kuchukua masomo fulani. Kila mwanafunzi huwa na uhuru wa kuchagua masomo anayoyapenda. Imebainika wazi kuwa nchini Uganda, wakati wa wanafunzi kupunguza idadi ya masomo unapofika, wengi wao huwa wanaacha somo la Kiswahili. Katika darasa la wanafunzi mia moja, ni wanafunzi kumi au kumi na watano tu ndio wanachukua Kiswahili. Hali hii inatisha sana hasa kwa wapenzi wa Kiswahili. Hivyo basi, mtafiti aliendeleza utafiti huu ili kueleza sababu zinazopelekea wanafunzi kufanya hivyo. Dhamira ya utafiti ni kueleza bayana kwa nini wanafunzi wengi nchini Uganda huwa hawachukui somo la Kiswahili katika kiwango cha “A”. Madhumuni ya utafiti huu ni kueleza mielekeo ya wanafunzi wa shule za sekondari nchini Uganda dhidi ya ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili na Kupendekeza njia mbalimbali za kuondokana na sababu za kuwapo kwa wanafunzi wachache wanaolichagua somo la kiswahili katika kiwango cha “A” katika shule za upili wilayani Rukungiri. Katika kazi hii, mkabala wa utafiti ulikuwa wa nyanjani. Kwa kutumia mkabala huu, mtafiti alizuru nyanjani na kuendeleza mahojiano na wahojiwa wake. Utafiti huu umeonyesha kuwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini Uganda huwa hawapendelei somo la Kiswahili kwa sababu zifuatazo: kuwepo na sera mbovu nchini kuhusu lugha ya Kiswahili; wanafunzi kutokuwa na msingi wa lugha ya Kiswahili; wanafunzi kuwa na fikra potovu kuwa Kiswahili ni lugha ya wezi; wanafunzi kufikiria kuwa Kiswahili ni somo linalofaa wenzao kutoka Kenya na Uganda; wanafunzi kufikiria kuwa lugha ya Kiswahili ni ngumu; 2025-01-17T16:17:02Z 2025-01-17T16:17:02Z 2024 Thesis Mpobwengye, Horeb (2024). Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2838 other Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Uchunguzi
Sababu
Kuwapo
Wanafunzi Wachache
Wanaolichagua Somo
Kiswahili
Kiwango Nchini Uganda
Shule
Wilayani Rukungiri
Mpobwengye, Horeb
Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.
title Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.
title_full Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.
title_fullStr Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.
title_full_unstemmed Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.
title_short Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri.
title_sort uchunguzi wa sababu za kuwapo kwa wanafunzi wachache wanaolichagua somo la kiswahili katika kiwango cha a nchini uganda mfano wa shule za upili wilayani rukungiri
topic Uchunguzi
Sababu
Kuwapo
Wanafunzi Wachache
Wanaolichagua Somo
Kiswahili
Kiwango Nchini Uganda
Shule
Wilayani Rukungiri
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2838
work_keys_str_mv AT mpobwengyehoreb uchunguziwasababuzakuwapokwawanafunziwachachewanaolichaguasomolakiswahilikatikakiwangochaanchiniugandamfanowashulezaupiliwilayanirukungiri