Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.

Lugha ya Kiswahili ni lugha yenye muundo wa kitenzi kati yaani, katika sentensi ni lazima kuwe na viambajengo kabla au baada ya kitenzi ambavyo vinaweza kuwa dhahiri au visiwe dhahiri. Kuwapo kwa muundo huu hakumaanishi kuwa lugha hii ina utaratibu mmoja kiusemaji. Bali, ipo miundo mingine ambayo ki...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Amanzi, Musa .O.
Format: Article
Language:English
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2393
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1815869488460988416
author Amanzi, Musa .O.
author_facet Amanzi, Musa .O.
author_sort Amanzi, Musa .O.
collection KAB-DR
description Lugha ya Kiswahili ni lugha yenye muundo wa kitenzi kati yaani, katika sentensi ni lazima kuwe na viambajengo kabla au baada ya kitenzi ambavyo vinaweza kuwa dhahiri au visiwe dhahiri. Kuwapo kwa muundo huu hakumaanishi kuwa lugha hii ina utaratibu mmoja kiusemaji. Bali, ipo miundo mingine ambayo kimsingi ujitokezaji wake husababishwa na miktadha mbalimbali ya kisintaksia. Makala haya kwahiyo yanalenga kuchunguza miktadha ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubalifu vya sentensi za Kiswahili. Data za makala haya zilipatikana uwandani kupitia mbinu ya ushuhudiaji sikizi na mahojiano. Nadharia ya Uchunguzi wa Kimaeneo ya Joshua Aaron Fishman mwaka (1972) ilitumika katika uchanganuzi na uwasilishaji wa data. Katika uwasilishaji wa kila data, alama “Mt.” ilitumika ikimaanisha “mtoataarifa”. Matokeo ya makala haya yanaonesha kuwa kuna miktadha sita ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubali vya sentensi za Kiswahili. Miktadha hiyo ni umadaishaji, ufokasilishaji, usititizi, uulizi, maombi na kuagiza. Aidha, makala haya yanapendekeza kuwa tafiti nyingine zifanyike ili kuchunguza miundo virai kubalifu itokanayo na miktadha ya kisintaksia ya makusudio ya mawasiliano.
format Article
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2393
institution KAB-DR
language English
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-23932024-11-14T00:01:10Z Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili. Amanzi, Musa .O. Miktadha ya Kisintaksia Makusudio ya Mawasiliano Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu Lugha ya Kiswahili ni lugha yenye muundo wa kitenzi kati yaani, katika sentensi ni lazima kuwe na viambajengo kabla au baada ya kitenzi ambavyo vinaweza kuwa dhahiri au visiwe dhahiri. Kuwapo kwa muundo huu hakumaanishi kuwa lugha hii ina utaratibu mmoja kiusemaji. Bali, ipo miundo mingine ambayo kimsingi ujitokezaji wake husababishwa na miktadha mbalimbali ya kisintaksia. Makala haya kwahiyo yanalenga kuchunguza miktadha ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubalifu vya sentensi za Kiswahili. Data za makala haya zilipatikana uwandani kupitia mbinu ya ushuhudiaji sikizi na mahojiano. Nadharia ya Uchunguzi wa Kimaeneo ya Joshua Aaron Fishman mwaka (1972) ilitumika katika uchanganuzi na uwasilishaji wa data. Katika uwasilishaji wa kila data, alama “Mt.” ilitumika ikimaanisha “mtoataarifa”. Matokeo ya makala haya yanaonesha kuwa kuna miktadha sita ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubali vya sentensi za Kiswahili. Miktadha hiyo ni umadaishaji, ufokasilishaji, usititizi, uulizi, maombi na kuagiza. Aidha, makala haya yanapendekeza kuwa tafiti nyingine zifanyike ili kuchunguza miundo virai kubalifu itokanayo na miktadha ya kisintaksia ya makusudio ya mawasiliano. 2024-11-13T07:20:26Z 2024-11-13T07:20:26Z 2024 Article Amanzi, Musa .O. (2024). Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2393 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Miktadha ya Kisintaksia
Makusudio ya Mawasiliano
Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu
Amanzi, Musa .O.
Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
title Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
title_full Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
title_fullStr Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
title_full_unstemmed Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
title_short Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
title_sort miktadha ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubalifu ya kiswahili
topic Miktadha ya Kisintaksia
Makusudio ya Mawasiliano
Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2393
work_keys_str_mv AT amanzimusao miktadhayakisintaksiaitokanayonamakusudioyamawasilianokatikauibuziwamiundoviraikubalifuyakiswahili