Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.

Makala haya yanachunguza uamilifu wa sifa bainifu katika mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili. Uhakiki wa mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili ili kubainisha uamilifu wa sifa katika orodha ya fonimu za Kiswahili umeelezwa kwa kuzingatia michakato ya upokeaji wa maneno yenye asili ya Kiarabu mk...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Majariwa, David
Format: Article
Language:English
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2391
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1815869488413802496
author Majariwa, David
author_facet Majariwa, David
author_sort Majariwa, David
collection KAB-DR
description Makala haya yanachunguza uamilifu wa sifa bainifu katika mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili. Uhakiki wa mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili ili kubainisha uamilifu wa sifa katika orodha ya fonimu za Kiswahili umeelezwa kwa kuzingatia michakato ya upokeaji wa maneno yenye asili ya Kiarabu mkiwamo vitamkwa [θ], [ð], [χ] na [ɣ]. Uchunguzi huu ulijikita katika misingi ya uhakiki wa orodha ya vitamkwa ambayo ni Udhibiti wa sifa, Iktisadi ya sifa, Uziada, Utabakishi wa sifa na Uzidishaji wa sifa iliyotolewa na Clements (2003). Data zilikusanywa kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Toleo la 3 na Bosha (1993). Data zilikusanywa kwa njia ya uchanganuzi matini. Matokeo ya uchunguzi huu yanaonesha kuwa kuna misingi inayodhibiti sifa bainifu za fonimu konsonati za Kiswahili. Kwa ujumla, misingi hii inashirikiana kuukilia kaida za mfumo wa fonimu za Kiswahili kama uelekeo wa msambao wa fonimu na nafasi za kutamkia. Aidha, matokeo yanaonesha kuwa fonimu za Kiswahili zinadhihirisha ruwaza wiani katika mfumo huo. Makala haya yanatoa mchango kwa kubainisha iktisadi kwenye uamilifu wa sifa katika mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili.
format Article
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2391
institution KAB-DR
language English
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-23912024-11-14T00:00:52Z Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili. Majariwa, David Uamilifu Sifa Mfumo wa fonimu Makala haya yanachunguza uamilifu wa sifa bainifu katika mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili. Uhakiki wa mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili ili kubainisha uamilifu wa sifa katika orodha ya fonimu za Kiswahili umeelezwa kwa kuzingatia michakato ya upokeaji wa maneno yenye asili ya Kiarabu mkiwamo vitamkwa [θ], [ð], [χ] na [ɣ]. Uchunguzi huu ulijikita katika misingi ya uhakiki wa orodha ya vitamkwa ambayo ni Udhibiti wa sifa, Iktisadi ya sifa, Uziada, Utabakishi wa sifa na Uzidishaji wa sifa iliyotolewa na Clements (2003). Data zilikusanywa kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Toleo la 3 na Bosha (1993). Data zilikusanywa kwa njia ya uchanganuzi matini. Matokeo ya uchunguzi huu yanaonesha kuwa kuna misingi inayodhibiti sifa bainifu za fonimu konsonati za Kiswahili. Kwa ujumla, misingi hii inashirikiana kuukilia kaida za mfumo wa fonimu za Kiswahili kama uelekeo wa msambao wa fonimu na nafasi za kutamkia. Aidha, matokeo yanaonesha kuwa fonimu za Kiswahili zinadhihirisha ruwaza wiani katika mfumo huo. Makala haya yanatoa mchango kwa kubainisha iktisadi kwenye uamilifu wa sifa katika mfumo wa fonimu konsonanti za Kiswahili. 2024-11-13T07:05:54Z 2024-11-13T07:05:54Z 2024 Article Majariwa, David (2024). Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2391 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Uamilifu
Sifa
Mfumo wa fonimu
Majariwa, David
Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
title Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
title_full Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
title_fullStr Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
title_full_unstemmed Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
title_short Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
title_sort uamilifu wa sifa katika mfumo wa fonimu konsonanti za kiswahili
topic Uamilifu
Sifa
Mfumo wa fonimu
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2391
work_keys_str_mv AT majariwadavid uamilifuwasifakatikamfumowafonimukonsonantizakiswahili