Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.

Mada kuu ya utafiti huu ilikuwa Uchanganuzi wa athari za kifonolojia zinazojidhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza athari za kifonolojia zinazodhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Nsimamukama, Mariseera
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2113
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1813635238105972736
author Nsimamukama, Mariseera
author_facet Nsimamukama, Mariseera
author_sort Nsimamukama, Mariseera
collection KAB-DR
description Mada kuu ya utafiti huu ilikuwa Uchanganuzi wa athari za kifonolojia zinazojidhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza athari za kifonolojia zinazodhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Sampuli ya utafiti huu ilikuwa ya watu sitini (60). Wanafunzi hamsini na walimu kumi kutoka kwa shule teule. Njia zilizotumiwa kukusanya data ni mahojiano kwa walimu wa Kiswahili na usimuliaji wa hadithi kwa wanafunzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi matatu na matokeo ya lengo la kwanza yalionyesha kwamba athari za Kifonolojia zinazojidhirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Kigeni katika jamii ya Wanyankore ni uchopekaji, ubadilishanaji wa fonimu na udoshaji herufi. Matokeo ya lengo la pili yalionyesha kuwa sababu kubwa ya kujitokeza kwa athari za Kifonolojia hizo ni mwingiliano wa lugha ya kwanza (Kinyankore) na lugha ya pili (Kiswahili). Matokeo ya lengo la tatu yalionyesha kwamba suluhisho kubwa la athari hizi ni kuwafundisha wanafunzi Kiswahili tangu utotoni ili wapate umilisi tosha. Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine sifanywe kuhusu athari za kifonolojia Kwa kuangazia viwango vingine vya kiisimu ili suala hili lieleweke zaidi.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2113
institution KAB-DR
language English
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-21132024-08-01T00:00:40Z Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore. Nsimamukama, Mariseera Uchanganuzi Athari Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Wajifunzaji Kiswahili Kama Lugha Kigeni Katika Wanyankore Mada kuu ya utafiti huu ilikuwa Uchanganuzi wa athari za kifonolojia zinazojidhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza athari za kifonolojia zinazodhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Sampuli ya utafiti huu ilikuwa ya watu sitini (60). Wanafunzi hamsini na walimu kumi kutoka kwa shule teule. Njia zilizotumiwa kukusanya data ni mahojiano kwa walimu wa Kiswahili na usimuliaji wa hadithi kwa wanafunzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi matatu na matokeo ya lengo la kwanza yalionyesha kwamba athari za Kifonolojia zinazojidhirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Kigeni katika jamii ya Wanyankore ni uchopekaji, ubadilishanaji wa fonimu na udoshaji herufi. Matokeo ya lengo la pili yalionyesha kuwa sababu kubwa ya kujitokeza kwa athari za Kifonolojia hizo ni mwingiliano wa lugha ya kwanza (Kinyankore) na lugha ya pili (Kiswahili). Matokeo ya lengo la tatu yalionyesha kwamba suluhisho kubwa la athari hizi ni kuwafundisha wanafunzi Kiswahili tangu utotoni ili wapate umilisi tosha. Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine sifanywe kuhusu athari za kifonolojia Kwa kuangazia viwango vingine vya kiisimu ili suala hili lieleweke zaidi. 2024-06-24T10:00:13Z 2024-06-24T10:00:13Z 2024 Thesis Nsimamukama, Mariseera (2024). Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2113 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Uchanganuzi
Athari
Kifonolojia Zinazojidhihirisha
Miongoni
Wajifunzaji
Kiswahili
Kama Lugha
Kigeni Katika
Wanyankore
Nsimamukama, Mariseera
Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
title Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
title_full Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
title_fullStr Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
title_full_unstemmed Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
title_short Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
title_sort uchanganuzi wa athari za kifonolojia zinazojidhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya wanyankore
topic Uchanganuzi
Athari
Kifonolojia Zinazojidhihirisha
Miongoni
Wajifunzaji
Kiswahili
Kama Lugha
Kigeni Katika
Wanyankore
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2113
work_keys_str_mv AT nsimamukamamariseera uchanganuziwaatharizakifonolojiazinazojidhihirishamiongonimwawajifunzajiwakiswahilikamalughayakigenikatikajamiiyawanyankore