Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.

Utafiti huu umeshughulikia Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Nguu za Jadi. Tatizo la utafiti lilikuwa suala la kulinganisha matendo na lugha ambayo wahusika hawa wa kike katika kazi hizi halijashughulishwa. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua wahusika wa k...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Ainebyoona, Olivia
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2110
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1803933478803210240
author Ainebyoona, Olivia
author_facet Ainebyoona, Olivia
author_sort Ainebyoona, Olivia
collection KAB-DR
description Utafiti huu umeshughulikia Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Nguu za Jadi. Tatizo la utafiti lilikuwa suala la kulinganisha matendo na lugha ambayo wahusika hawa wa kike katika kazi hizi halijashughulishwa. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua wahusika wa kike katika riwaya teule. Sampuli ilikuwa riwaya ya Usiku Utakapokwisha ya Mbunda Msokile na riwaya ya Nguu za Jadi ya Clara Momanyi. Mtafiti ametumia mbinu ya uchambuzi matini na ushuhudiaji katika kukusanya data za utafiti. Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. Mapendekezo ni kufanywa kwa tafiti nyingine ili kulinganishwa na utafiti huu pamoja na kufanya utafiti wa kwenda uwanjani.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2110
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-21102024-06-25T00:00:34Z Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi. Ainebyoona, Olivia Uchanganuzi Linganishi Wahusika Kike Katika Riwaya Usiku Utakapokwisha Nguu Jadi Utafiti huu umeshughulikia Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Nguu za Jadi. Tatizo la utafiti lilikuwa suala la kulinganisha matendo na lugha ambayo wahusika hawa wa kike katika kazi hizi halijashughulishwa. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua wahusika wa kike katika riwaya teule. Sampuli ilikuwa riwaya ya Usiku Utakapokwisha ya Mbunda Msokile na riwaya ya Nguu za Jadi ya Clara Momanyi. Mtafiti ametumia mbinu ya uchambuzi matini na ushuhudiaji katika kukusanya data za utafiti. Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. Mapendekezo ni kufanywa kwa tafiti nyingine ili kulinganishwa na utafiti huu pamoja na kufanya utafiti wa kwenda uwanjani. 2024-06-24T09:36:20Z 2024-06-24T09:36:20Z 2024 Thesis Ainebyoona, Olivia (2024). Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2110 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Uchanganuzi Linganishi
Wahusika
Kike Katika Riwaya
Usiku Utakapokwisha
Nguu
Jadi
Ainebyoona, Olivia
Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
title Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
title_full Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
title_fullStr Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
title_full_unstemmed Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
title_short Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
title_sort uchanganuzi linganishi wa wahusika wa kike katika riwaya ya usiku utakapokwisha na riwaya ya nguu za jadi
topic Uchanganuzi Linganishi
Wahusika
Kike Katika Riwaya
Usiku Utakapokwisha
Nguu
Jadi
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2110
work_keys_str_mv AT ainebyoonaolivia uchanganuzilinganishiwawahusikawakikekatikariwayayausikuutakapokwishanariwayayanguuzajadi