Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.

Utafiti huu ulihusu Uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya Wanyankore na katika tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Kwa kutumia mbinu ya mahojiano, mtafiti alipata data za lengo la kwanza na la tatu. Kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi nyaraka, mtafiti alipata...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Akampamya, Mauricia
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2109
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!