Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.

Utafiti huu ulihusu Uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya Wanyankore na katika tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Kwa kutumia mbinu ya mahojiano, mtafiti alipata data za lengo la kwanza na la tatu. Kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi nyaraka, mtafiti alipata...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Akampamya, Mauricia
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2109
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1803933478147850240
author Akampamya, Mauricia
author_facet Akampamya, Mauricia
author_sort Akampamya, Mauricia
collection KAB-DR
description Utafiti huu ulihusu Uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya Wanyankore na katika tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Kwa kutumia mbinu ya mahojiano, mtafiti alipata data za lengo la kwanza na la tatu. Kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi nyaraka, mtafiti alipata data za lengo la pili na la tatu. Sampuli ya watu kumi na watano yaani wanawake watano kutoka kila kijiji teule katika kata la Ruhaama ndio walifanya kama watoa taarifa pia data nyingine zikatolewa kwa tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Matokeo ni kwamba Jamii ya Wanyakore mwanamke anadunishwa ingawa kwa upande mdogo anakweza, pili yalionyesha kwamba mwanamke katika Tamthilia ya Mama ee anatwezwa kwa upande mkubwa.Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine zifanywe kuhusu suala hili kwa kuangazia tamthilia,riwaya,diwani na tungo nyingine za kifasihi ili kuwepo uelewekaji wake zaidi.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2109
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-21092024-06-25T00:00:39Z Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi. Akampamya, Mauricia Uchunguzi Linganishi Usawiri Mwanamke Jamii Wanyankore Tamthilia Mama Katini Mwachofi Utafiti huu ulihusu Uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya Wanyankore na katika tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Kwa kutumia mbinu ya mahojiano, mtafiti alipata data za lengo la kwanza na la tatu. Kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi nyaraka, mtafiti alipata data za lengo la pili na la tatu. Sampuli ya watu kumi na watano yaani wanawake watano kutoka kila kijiji teule katika kata la Ruhaama ndio walifanya kama watoa taarifa pia data nyingine zikatolewa kwa tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Matokeo ni kwamba Jamii ya Wanyakore mwanamke anadunishwa ingawa kwa upande mdogo anakweza, pili yalionyesha kwamba mwanamke katika Tamthilia ya Mama ee anatwezwa kwa upande mkubwa.Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine zifanywe kuhusu suala hili kwa kuangazia tamthilia,riwaya,diwani na tungo nyingine za kifasihi ili kuwepo uelewekaji wake zaidi. 2024-06-24T09:36:08Z 2024-06-24T09:36:08Z 2024 Thesis Akampamya, Mauricia (2024). Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2109 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Uchunguzi Linganishi
Usawiri
Mwanamke
Jamii
Wanyankore
Tamthilia
Mama
Katini Mwachofi
Akampamya, Mauricia
Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
title Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
title_full Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
title_fullStr Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
title_full_unstemmed Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
title_short Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
title_sort uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya wanyankore na tamthilia ya mama ee ya ari katini mwachofi
topic Uchunguzi Linganishi
Usawiri
Mwanamke
Jamii
Wanyankore
Tamthilia
Mama
Katini Mwachofi
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2109
work_keys_str_mv AT akampamyamauricia uchunguzilinganishiwausawiriwamwanamkekatikajamiiyawanyankorenatamthiliayamamaeeyaarikatinimwachofi