Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.

Utafiti huu ulihusuUsawiri wa mwanamke katika methali za Kikonjo.Utafiti huu ulifanyiwa katika kata la Bwera wilayani Kasese. Kwa kutumia njia ya mahojiano, sampuli ya wazee ishirini (20) wenye umri wa miaka hamsini hadi juu ilitumiwa ili kufikia lengo la kwanza la pili na la tatu. Methali mbali mba...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Ithungu, Roseline
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2103
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1803933476076912640
author Ithungu, Roseline
author_facet Ithungu, Roseline
author_sort Ithungu, Roseline
collection KAB-DR
description Utafiti huu ulihusuUsawiri wa mwanamke katika methali za Kikonjo.Utafiti huu ulifanyiwa katika kata la Bwera wilayani Kasese. Kwa kutumia njia ya mahojiano, sampuli ya wazee ishirini (20) wenye umri wa miaka hamsini hadi juu ilitumiwa ili kufikia lengo la kwanza la pili na la tatu. Methali mbali mbali za Kikonjo zilikusanywa na kutengenezewa tafsiri isiyo rasimi katika Kiswahili ili kutimiza lengo la kwanza.Ili kufikia lengo la pili, uchunguzi makinifu ulifanywa na mtafiti akishirikiana na wazee ili kuona jinsi mwanamke anavyosawiriwa katika methali hizo kwa mfano kama asiye na mapenzi ya dhati, chombo cha starehe, mtumwa, mvivu, na mtu asiye na siri na kadhalika. Kwa lengo la tatu, mtafiti alifanya mahojiano kwa wazee ili kupata sababu za mwanamke kusawiriwa anavyosawiriwa katika methali za Kikonjo kwa mfano utamaduni, diini, tabia za mwanamke, na kadhalika.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2103
institution KAB-DR
language English
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-21032024-06-25T00:00:28Z Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo. Ithungu, Roseline Usawiri Mwanamke Katika Methali Kikonzo Utafiti huu ulihusuUsawiri wa mwanamke katika methali za Kikonjo.Utafiti huu ulifanyiwa katika kata la Bwera wilayani Kasese. Kwa kutumia njia ya mahojiano, sampuli ya wazee ishirini (20) wenye umri wa miaka hamsini hadi juu ilitumiwa ili kufikia lengo la kwanza la pili na la tatu. Methali mbali mbali za Kikonjo zilikusanywa na kutengenezewa tafsiri isiyo rasimi katika Kiswahili ili kutimiza lengo la kwanza.Ili kufikia lengo la pili, uchunguzi makinifu ulifanywa na mtafiti akishirikiana na wazee ili kuona jinsi mwanamke anavyosawiriwa katika methali hizo kwa mfano kama asiye na mapenzi ya dhati, chombo cha starehe, mtumwa, mvivu, na mtu asiye na siri na kadhalika. Kwa lengo la tatu, mtafiti alifanya mahojiano kwa wazee ili kupata sababu za mwanamke kusawiriwa anavyosawiriwa katika methali za Kikonjo kwa mfano utamaduni, diini, tabia za mwanamke, na kadhalika. 2024-06-24T09:20:20Z 2024-06-24T09:20:20Z 2024 Thesis Ithungu, Roseline (2024). Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2103 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Usawiri
Mwanamke
Katika Methali
Kikonzo
Ithungu, Roseline
Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
title Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
title_full Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
title_fullStr Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
title_full_unstemmed Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
title_short Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
title_sort usawiri wa mwanamke katika methali za kikonzo
topic Usawiri
Mwanamke
Katika Methali
Kikonzo
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2103
work_keys_str_mv AT ithunguroseline usawiriwamwanamkekatikamethalizakikonzo