Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara.
Tamthilia Wamitila, (2002) katika Uhakiki wa fasihi ameeleza kuwa, neno tamthiliya kwa upana wake linatumiwa kujumuisha maneno drama na play ya Kiingereza. Kwa hiyo, tamthiliya ni utungo unaoandikwa kwa mtindo wa mazungumzo. Ubora wa fasili hii imezingatia kipengele cha mazungumzo ambacho ni kipenge...
Saved in:
Main Author: | |
---|---|
Format: | Thesis |
Language: | en_US |
Published: |
Kabale University
2024
|
Subjects: | |
Online Access: | http://hdl.handle.net/20.500.12493/2044 |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|
_version_ | 1813635238151061504 |
---|---|
author | Turinawe, James |
author_facet | Turinawe, James |
author_sort | Turinawe, James |
collection | KAB-DR |
description | Tamthilia
Wamitila, (2002) katika Uhakiki wa fasihi ameeleza kuwa, neno tamthiliya kwa upana wake linatumiwa kujumuisha maneno drama na play ya Kiingereza. Kwa hiyo, tamthiliya ni utungo unaoandikwa kwa mtindo wa mazungumzo. Ubora wa fasili hii imezingatia kipengele cha mazungumzo ambacho ni kipengele muhimu katika tamthiliya.
Wilaya ya Mbarara
Wilaya ya Mbarara iko katika eneo la Magharibi mwa Uganda. Ilipakana na mkoa wa Ntungamo upande wa kusini, Wilaya ya Kiruhura upande wa mashariki, Wilaya ya Isingiro upande wa kaskazini-mashariki, na Wilaya ya Buhweju upande wa magharibi.
Dhana ya Jamii
Jamii ni msamiati ambao katika maisha ya kila siku tunautumia kuashiria maana fulani; ama, kulingana na muktadha au kwa maana halisi ya kileksia. Kamusi ya Kiswahili sanifu ya (2004) inafafanua kiduchu maana ya neno “Jamii” kuwa ni mkusanyiko wa watu au vitu. Vilevile, Kamusi ya Kiingereza Oxford Advanced Learner's Dictionary (2010), inafafanua kuwa Jamii ni watu kwa pamoja, waishio pamoja kwenye ujima; ni ujima fulani wa watu wenye desturi, tabia na sheria za aina moja. Simiyu (2011) katika Kitovu cha fasihi Simulizi anasema kuwa Jamii ni kikundi cha watu wanaotumia lugha moja, wana utamaduni mmoja na wanapatikana katika eneo moja la mastakimu. Kwa hiyo,kwa maoni yetu, ni sawa kabisa kufasili Jamii kama mkusanyiko au kundi la watu waliokusanyika sehemu fulani kama kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda na taifa. Watu hawa huishi kama wamoja, na wenye kufuata utaratibu au kanuni fulani za kimaisha walizojiwekea wao wenyewe. Mkusanyiko huo wa watu unakuwa na utamaduni wake, unaodhihirika katika mila na desturi na mielekeo fulani ya kimaisha. |
format | Thesis |
id | oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2044 |
institution | KAB-DR |
language | en_US |
publishDate | 2024 |
publisher | Kabale University |
record_format | dspace |
spelling | oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-20442024-08-01T00:00:45Z Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. Turinawe, James Ulinganishaji Maisha Tamthilia Mizigo Jamii Wilayani Mbarara Tamthilia Wamitila, (2002) katika Uhakiki wa fasihi ameeleza kuwa, neno tamthiliya kwa upana wake linatumiwa kujumuisha maneno drama na play ya Kiingereza. Kwa hiyo, tamthiliya ni utungo unaoandikwa kwa mtindo wa mazungumzo. Ubora wa fasili hii imezingatia kipengele cha mazungumzo ambacho ni kipengele muhimu katika tamthiliya. Wilaya ya Mbarara Wilaya ya Mbarara iko katika eneo la Magharibi mwa Uganda. Ilipakana na mkoa wa Ntungamo upande wa kusini, Wilaya ya Kiruhura upande wa mashariki, Wilaya ya Isingiro upande wa kaskazini-mashariki, na Wilaya ya Buhweju upande wa magharibi. Dhana ya Jamii Jamii ni msamiati ambao katika maisha ya kila siku tunautumia kuashiria maana fulani; ama, kulingana na muktadha au kwa maana halisi ya kileksia. Kamusi ya Kiswahili sanifu ya (2004) inafafanua kiduchu maana ya neno “Jamii” kuwa ni mkusanyiko wa watu au vitu. Vilevile, Kamusi ya Kiingereza Oxford Advanced Learner's Dictionary (2010), inafafanua kuwa Jamii ni watu kwa pamoja, waishio pamoja kwenye ujima; ni ujima fulani wa watu wenye desturi, tabia na sheria za aina moja. Simiyu (2011) katika Kitovu cha fasihi Simulizi anasema kuwa Jamii ni kikundi cha watu wanaotumia lugha moja, wana utamaduni mmoja na wanapatikana katika eneo moja la mastakimu. Kwa hiyo,kwa maoni yetu, ni sawa kabisa kufasili Jamii kama mkusanyiko au kundi la watu waliokusanyika sehemu fulani kama kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda na taifa. Watu hawa huishi kama wamoja, na wenye kufuata utaratibu au kanuni fulani za kimaisha walizojiwekea wao wenyewe. Mkusanyiko huo wa watu unakuwa na utamaduni wake, unaodhihirika katika mila na desturi na mielekeo fulani ya kimaisha. 2024-06-07T10:38:42Z 2024-06-07T10:38:42Z 2024 Thesis Turinawe, James (2024). Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2044 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University |
spellingShingle | Ulinganishaji Maisha Tamthilia Mizigo Jamii Wilayani Mbarara Turinawe, James Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. |
title | Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. |
title_full | Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. |
title_fullStr | Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. |
title_full_unstemmed | Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. |
title_short | Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara. |
title_sort | ulinganishaji wa maisha katika tamthilia ya mizigo na ya jamii wilayani mbarara |
topic | Ulinganishaji Maisha Tamthilia Mizigo Jamii Wilayani Mbarara |
url | http://hdl.handle.net/20.500.12493/2044 |
work_keys_str_mv | AT turinawejames ulinganishajiwamaishakatikatamthiliayamizigonayajamiiwilayanimbarara |