Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.
Kusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu pia ulichunguza nafasi ya vifaa katika kufanikisha ufundishaji wa sarufi. Isitoshe, utafiti huu ulibainisha mazoezi wanay...
Saved in:
Main Author: | Natushemereirwe, John |
---|---|
Format: | Thesis |
Language: | other |
Published: |
Kabale University
2024
|
Subjects: | |
Online Access: | http://hdl.handle.net/20.500.12493/1905 |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|
Similar Items
-
Uchunguzi wa Changamoto za Kufundisha Fasihi ya Kiswahili kwa Wanafunzi wa Kiwango cha Chini Katika Shule za Upili Zilizochaguliwa Wilayani Kabale.
by: Nabasa, Mackline
Published: (2025) -
Mchango Wa Methali Za Kiswahili Katika Kukuza Umilisi Wa Lugha Ya Kiswahili Kwa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Wilayani Ntungamo.
by: Katsigaire, Joshua
Published: (2024) -
Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
by: Baluku, Joel
Published: (2025) -
Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
by: Ainebyoona, Olivia
Published: (2024) -
Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
by: Turigye, Rosemary
Published: (2025)