Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.

Matini yoyote ya fasihi huhitaji kusomwa na kueleweka iii ipate kuwa na maana. Hata hivyo, kueleweka kwa matini hujitokeza ikiwa msomaji ataelewa mtindo uliotumika. Japo huu ndio ukweli, tafiti nyingi zilizofanywa hazijaangazia mtindo kama kipengele kinachojisimamia na tena maarufu katika kufafanua...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Nuwamanya, Levinari
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1771
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1803933478253756416
author Nuwamanya, Levinari
author_facet Nuwamanya, Levinari
author_sort Nuwamanya, Levinari
collection KAB-DR
description Matini yoyote ya fasihi huhitaji kusomwa na kueleweka iii ipate kuwa na maana. Hata hivyo, kueleweka kwa matini hujitokeza ikiwa msomaji ataelewa mtindo uliotumika. Japo huu ndio ukweli, tafiti nyingi zilizofanywa hazijaangazia mtindo kama kipengele kinachojisimamia na tena maarufu katika kufafanua maudhui.Vipengele vya kimtindo pia vina ushirikiano na uhusiano mkubwa katika kupitisha ujumbe uliokusudiwa katika kazi ya kisanaa. Fauka ya hayo, matumizi mwafaka ya vipengele mbalimbali vya kimtindo huifanya kazi ya fasihi kuwa na mnato, mvuto na uzuri wa kipekee. Hata hivyo, matumizi mabaya ya mtindo hupelekea kazi ya kifasihi kukosa usanii na hata uzuri wake, yaani huwa chapwa na huathiri namna ujumbe unavyomfikia msomaji. Msanii yeyote anapokata shauri kuchagua vipengele fulani vya kisanaa sharti viweze kuvutia hadhira, kuchokonoa na kuathiri hisia zao. Mtindo unakuwa ni kigezo cha kupimia kufaulu au kutofaulu kwa msanii katika usanii wake. Mtunzi wa riwaya huhitaji weledi wa hali ya juu iii kuweza kufikia upeo wa ubunifu wake. Mapitio tangulizi ya maandishi yameonyesha kuwa hakuna utafiti uliofany wa kwa kina katika kubainisha mtindo kwenye riwaya ya Ndoto ya Almasi.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-1771
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-17712024-06-12T07:24:02Z Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora. Nuwamanya, Levinari Uhakiki Mtindo Riwaya Ndoto Almasi Walibora Matini yoyote ya fasihi huhitaji kusomwa na kueleweka iii ipate kuwa na maana. Hata hivyo, kueleweka kwa matini hujitokeza ikiwa msomaji ataelewa mtindo uliotumika. Japo huu ndio ukweli, tafiti nyingi zilizofanywa hazijaangazia mtindo kama kipengele kinachojisimamia na tena maarufu katika kufafanua maudhui.Vipengele vya kimtindo pia vina ushirikiano na uhusiano mkubwa katika kupitisha ujumbe uliokusudiwa katika kazi ya kisanaa. Fauka ya hayo, matumizi mwafaka ya vipengele mbalimbali vya kimtindo huifanya kazi ya fasihi kuwa na mnato, mvuto na uzuri wa kipekee. Hata hivyo, matumizi mabaya ya mtindo hupelekea kazi ya kifasihi kukosa usanii na hata uzuri wake, yaani huwa chapwa na huathiri namna ujumbe unavyomfikia msomaji. Msanii yeyote anapokata shauri kuchagua vipengele fulani vya kisanaa sharti viweze kuvutia hadhira, kuchokonoa na kuathiri hisia zao. Mtindo unakuwa ni kigezo cha kupimia kufaulu au kutofaulu kwa msanii katika usanii wake. Mtunzi wa riwaya huhitaji weledi wa hali ya juu iii kuweza kufikia upeo wa ubunifu wake. Mapitio tangulizi ya maandishi yameonyesha kuwa hakuna utafiti uliofany wa kwa kina katika kubainisha mtindo kwenye riwaya ya Ndoto ya Almasi. 2024-01-22T06:53:37Z 2024-01-22T06:53:37Z 2022 Thesis Nuwamanya, Levinari (2022). Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/1771 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Uhakiki
Mtindo
Riwaya
Ndoto
Almasi
Walibora
Nuwamanya, Levinari
Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
title Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
title_full Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
title_fullStr Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
title_full_unstemmed Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
title_short Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
title_sort uhakiki wa mtindo wa lug ha ka tika riwaya ya ndoto ya almasi na ken walibora
topic Uhakiki
Mtindo
Riwaya
Ndoto
Almasi
Walibora
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/1771
work_keys_str_mv AT nuwamanyalevinari uhakikiwamtindowalughakatikariwayayandotoyaalmasinakenwalibora