Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.

Utafiti huu unahusu mtazamo wa walimu wa Kiswahili kuhusu ubadilishaji wa mtaala wa elimu nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu ulibainisha mitazamo mbalimbali ya walimu na wanaelimu wengine, Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya pia na masuluhisho ya Changamoto zinazoweza kuuk...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Akakikunda, Brenda
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1669
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1803933480230322176
author Akakikunda, Brenda
author_facet Akakikunda, Brenda
author_sort Akakikunda, Brenda
collection KAB-DR
description Utafiti huu unahusu mtazamo wa walimu wa Kiswahili kuhusu ubadilishaji wa mtaala wa elimu nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu ulibainisha mitazamo mbalimbali ya walimu na wanaelimu wengine, Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya pia na masuluhisho ya Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya huku tukifuatilia Malengo ya Utafiti huu. Utafiti huu ulifanyiwa katika shule mbalimbali Wilayani Kabale na shule hizo ni Kabale secondary school.St. Marys'College Rushoroza, Kigezi High School na BrainStorm High. Wahojiwa kumi ndio waliolengwa katika Utafiti huu kutoka katika Kila shule lililohusishwa yaani walimu watano na wanafunzi watano. Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelzo kutambua changamoto zinazoweza kukabili ubadilishaji wa mtaala. Mbinu za mahojiano, usomaji na usaili kukusanya data. K.upitia kwa vifaa vya hojaji na usaili wa moja kwa moja pamoja na usomaji. Nilipata changamoto kadhaa katika utafiti huu yaani; wanafunzi walikuwa hawajui kuongea Kiswahili ambacho kiliathiri mawasiliano, idadi ya wanafunzi ilikuwa nyingi ambacho kilinitatiza katika uchaguzi wa watafitiwa. Utafiti huu ulidhamiria kuwafaidi walimu wa K.iswahili iii kuwa na mtazamo mwema juu ya mtaala mpya ambacho kitawabidi kufanya iwezekanavyo kuona kwamba wanakidhi mahitaji ya mtaala mpya kwa kufuatilia maagizo ya mtaala mpya.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-1669
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-16692024-06-12T12:51:13Z Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda. Akakikunda, Brenda Mtazamo Kiswahili Kuhusu Ubadilisha Mtaala Elimu Wilay Kabale Uganda Utafiti huu unahusu mtazamo wa walimu wa Kiswahili kuhusu ubadilishaji wa mtaala wa elimu nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu ulibainisha mitazamo mbalimbali ya walimu na wanaelimu wengine, Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya pia na masuluhisho ya Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya huku tukifuatilia Malengo ya Utafiti huu. Utafiti huu ulifanyiwa katika shule mbalimbali Wilayani Kabale na shule hizo ni Kabale secondary school.St. Marys'College Rushoroza, Kigezi High School na BrainStorm High. Wahojiwa kumi ndio waliolengwa katika Utafiti huu kutoka katika Kila shule lililohusishwa yaani walimu watano na wanafunzi watano. Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelzo kutambua changamoto zinazoweza kukabili ubadilishaji wa mtaala. Mbinu za mahojiano, usomaji na usaili kukusanya data. K.upitia kwa vifaa vya hojaji na usaili wa moja kwa moja pamoja na usomaji. Nilipata changamoto kadhaa katika utafiti huu yaani; wanafunzi walikuwa hawajui kuongea Kiswahili ambacho kiliathiri mawasiliano, idadi ya wanafunzi ilikuwa nyingi ambacho kilinitatiza katika uchaguzi wa watafitiwa. Utafiti huu ulidhamiria kuwafaidi walimu wa K.iswahili iii kuwa na mtazamo mwema juu ya mtaala mpya ambacho kitawabidi kufanya iwezekanavyo kuona kwamba wanakidhi mahitaji ya mtaala mpya kwa kufuatilia maagizo ya mtaala mpya. 2024-01-15T11:57:52Z 2024-01-15T11:57:52Z 2023 Thesis Akakikunda, Brenda (2023). Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu Ubadilisha.Ji Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/1669 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Mtazamo
Kiswahili
Kuhusu Ubadilisha
Mtaala
Elimu Wilay
Kabale
Uganda
Akakikunda, Brenda
Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
title Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
title_full Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
title_fullStr Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
title_full_unstemmed Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
title_short Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
title_sort mtazamo wa walimu wa kiswahili ka tika shule za upili kuhusu ubadilishaji wa mtaala wa elimu wilay ani kabale nchini uganda
topic Mtazamo
Kiswahili
Kuhusu Ubadilisha
Mtaala
Elimu Wilay
Kabale
Uganda
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/1669
work_keys_str_mv AT akakikundabrenda mtazamowawalimuwakiswahilikatikashulezaupilikuhusuubadilishajiwamtaalawaelimuwilayanikabalenchiniuganda