Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.

Utafiti huu unahusu methali kama kielezo cha shughuli katika jamii ya Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri, nchini Uganda. Hivyo ni kwamba somo hili liliongozwa na lengo kuu ambalo lilikuwa ni kubainisha shughuli zinazoelezwa na methali za kihororo pamoja na zile za Kikiga wilayani Rukungiri.Somo hil...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Nahurira, Ronnet
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1664
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1800403079128940544
author Nahurira, Ronnet
author_facet Nahurira, Ronnet
author_sort Nahurira, Ronnet
collection KAB-DR
description Utafiti huu unahusu methali kama kielezo cha shughuli katika jamii ya Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri, nchini Uganda. Hivyo ni kwamba somo hili liliongozwa na lengo kuu ambalo lilikuwa ni kubainisha shughuli zinazoelezwa na methali za kihororo pamoja na zile za Kikiga wilayani Rukungiri.Somo hili pia lilifuata malengo mahususi ambayo yalikuwa ni pamoja na: Kwanza, utafiti huu ulichunguza shughuli zinazoweza kuelezwa na methali katika Wahororo Wakiga nchini Uganda. Pili, utafiti huu ulibainisha uhusiano kati ya methali na matawi mengine ya fasihi simulizi na jinsi yanavyoweza kutumiwa kama kielezo cha shughuli za jamii ya Wahoro/Wakiga, nchini Uganda. Tatu, utafiti huu ulibainisha changamoto zinazokumba methali kama kielezo cha shughuli katika Wahororo/Wakiga wilayani Rukungiri pamoja na njia za kukabiliana na changamoto zinazokumba methali kutumiwa kama vielezo vya shughuli za Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri. Utafiti huu ulifanyiwa wilayani Rukungiri katika vijiji vya Eisherero, Nyabihinga, Omukarere pamoja na Nyakashaka. Wahojiwa wazazi walitumiwa katika utafiti huu wakati wa kutoa data, walisaidia katika kutoa data kuhusu shughuli zinazoelezwa na methali pamoja na mifano ya methali zinazoeleza shughuli hizo. Utafiti huu uligundua kuwa ingawa methali hukumbwa na changamoto tofauti tofauti, zinarejelewa sana kama kielezo cha shughuli za Wahororo/Wakiga.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-1664
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-16642024-01-31T04:22:45Z Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda. Nahurira, Ronnet Methali Kama Kielezo Shughuli Katika Jamii Wahororo Wakiga Wilayani Rukungiri Uganda Utafiti huu unahusu methali kama kielezo cha shughuli katika jamii ya Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri, nchini Uganda. Hivyo ni kwamba somo hili liliongozwa na lengo kuu ambalo lilikuwa ni kubainisha shughuli zinazoelezwa na methali za kihororo pamoja na zile za Kikiga wilayani Rukungiri.Somo hili pia lilifuata malengo mahususi ambayo yalikuwa ni pamoja na: Kwanza, utafiti huu ulichunguza shughuli zinazoweza kuelezwa na methali katika Wahororo Wakiga nchini Uganda. Pili, utafiti huu ulibainisha uhusiano kati ya methali na matawi mengine ya fasihi simulizi na jinsi yanavyoweza kutumiwa kama kielezo cha shughuli za jamii ya Wahoro/Wakiga, nchini Uganda. Tatu, utafiti huu ulibainisha changamoto zinazokumba methali kama kielezo cha shughuli katika Wahororo/Wakiga wilayani Rukungiri pamoja na njia za kukabiliana na changamoto zinazokumba methali kutumiwa kama vielezo vya shughuli za Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri. Utafiti huu ulifanyiwa wilayani Rukungiri katika vijiji vya Eisherero, Nyabihinga, Omukarere pamoja na Nyakashaka. Wahojiwa wazazi walitumiwa katika utafiti huu wakati wa kutoa data, walisaidia katika kutoa data kuhusu shughuli zinazoelezwa na methali pamoja na mifano ya methali zinazoeleza shughuli hizo. Utafiti huu uligundua kuwa ingawa methali hukumbwa na changamoto tofauti tofauti, zinarejelewa sana kama kielezo cha shughuli za Wahororo/Wakiga. 2024-01-15T11:57:21Z 2024-01-15T11:57:21Z 2021 Thesis Nahurira, Ronnet (2021). Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/1664 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Methali
Kama Kielezo
Shughuli Katika Jamii
Wahororo
Wakiga Wilayani
Rukungiri
Uganda
Nahurira, Ronnet
Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
title Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
title_full Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
title_fullStr Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
title_full_unstemmed Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
title_short Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
title_sort methali kama kielezo cha shughuli katika jamii ya wahororo wakiga wilayani rukungiri nchini uganda
topic Methali
Kama Kielezo
Shughuli Katika Jamii
Wahororo
Wakiga Wilayani
Rukungiri
Uganda
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/1664
work_keys_str_mv AT nahuriraronnet methalikamakielezochashughulikatikajamiiyawahororowakigawilayanirukungirinchiniuganda