Dhima Ya Nyenzo Ka Tika Ufundishaji Na Ujifunzaji Wa Kjsw Ahili Ka Tika Shule Za Upili Ka Tika Muni Sp Ali Ya Kabale.

Ufundishaji ni hatua inayohusisha mawasiliano kati ya mwalimu na mwanafunzi au kati ya wanafunzi wenyewe. Mawasiliano huhusisha mwanzo wa ujumbe, njia ya kupitisha ujumbe huo na mpokeaji wa ujumbe huo. Njia za upokeaji wa ujumbe huo hufanikishwa na kuwepo au kutokuwepo kwa nyenzo. Lengo kuu la utafi...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Ahereza, Promise
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1648
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
Description
Summary:Ufundishaji ni hatua inayohusisha mawasiliano kati ya mwalimu na mwanafunzi au kati ya wanafunzi wenyewe. Mawasiliano huhusisha mwanzo wa ujumbe, njia ya kupitisha ujumbe huo na mpokeaji wa ujumbe huo. Njia za upokeaji wa ujumbe huo hufanikishwa na kuwepo au kutokuwepo kwa nyenzo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhima ya nyenzo katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za upili katika munispali ya Kabale.