Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.

Utafiti huu utashughulikia mada ambayo ni changamoto za utekelezaji wa program Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale. Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. Utafiti huu pia...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Yebare, Israel
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1647
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1800403074733309952
author Yebare, Israel
author_facet Yebare, Israel
author_sort Yebare, Israel
collection KAB-DR
description Utafiti huu utashughulikia mada ambayo ni changamoto za utekelezaji wa program Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale. Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. Utafiti huu pia utaundwa kwa sura tano, yaan1, sura ya kwanza, sura ya pili, sura ya tatu, sura ya nne pamoja na sura ya tano. Sura ya kwanza itahusu usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti, umuhimu wa utafiti pamoja na changamoto zinazoweza kuukabili utafiti huu . Sura ya pili itahusu kazi za watafiti wa awali ambao walifanya utafiti wenye uhusiano na utafiti huu utakaofanywa. Katika sura ya tatu, utafiti huu utashughulikia mbinu zitakazofuatiliwa katika ukusanyaji wa data hadi kukamilisha utafiti huu. Hata hivyo, sura ya tatu itahusu muundo wa utafiti, eneo la utafiti, vifaa vya utafiti, uhakikishaji wa ubora pamoja na uteuzi wa sampuli ya wahojiwa wa utafiti huu. Katika sura ya nne, utafiti huu utashughulikia ukusanyaji wa data, uchambuzi pamoja na uwasilishaji wa data ambazo zitakuwa zimekusanywa kutoka uwanjani. Sura ya mwisho itakuwa ni sura ya tano ambapo katika sura hii, utafiti huu utatoa mhutasari wa utafiti, hitimisho la utafiti pamoja na mapendekezo ya utafiti huu utakaohusu changamoto za utekelezaji wa program ya Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-1647
institution KAB-DR
language en_US
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-16472024-01-31T04:21:41Z Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale. Yebare, Israel Chang Utekelezaji Programu Kisw Ahili Wanafunzi Utalii Tukilenga Kikuu Kabale Utafiti huu utashughulikia mada ambayo ni changamoto za utekelezaji wa program Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale. Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. Utafiti huu pia utaundwa kwa sura tano, yaan1, sura ya kwanza, sura ya pili, sura ya tatu, sura ya nne pamoja na sura ya tano. Sura ya kwanza itahusu usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti, umuhimu wa utafiti pamoja na changamoto zinazoweza kuukabili utafiti huu . Sura ya pili itahusu kazi za watafiti wa awali ambao walifanya utafiti wenye uhusiano na utafiti huu utakaofanywa. Katika sura ya tatu, utafiti huu utashughulikia mbinu zitakazofuatiliwa katika ukusanyaji wa data hadi kukamilisha utafiti huu. Hata hivyo, sura ya tatu itahusu muundo wa utafiti, eneo la utafiti, vifaa vya utafiti, uhakikishaji wa ubora pamoja na uteuzi wa sampuli ya wahojiwa wa utafiti huu. Katika sura ya nne, utafiti huu utashughulikia ukusanyaji wa data, uchambuzi pamoja na uwasilishaji wa data ambazo zitakuwa zimekusanywa kutoka uwanjani. Sura ya mwisho itakuwa ni sura ya tano ambapo katika sura hii, utafiti huu utatoa mhutasari wa utafiti, hitimisho la utafiti pamoja na mapendekezo ya utafiti huu utakaohusu changamoto za utekelezaji wa program ya Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale. 2024-01-13T09:51:56Z 2024-01-13T09:51:56Z 2023 Thesis Yebare, Israel (2023). Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/1647 en_US Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Chang
Utekelezaji
Programu
Kisw Ahili
Wanafunzi
Utalii Tukilenga
Kikuu
Kabale
Yebare, Israel
Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
title Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
title_full Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
title_fullStr Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
title_full_unstemmed Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
title_short Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
title_sort chang am oto za utekelezaji wa programu ya kisw ahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale
topic Chang
Utekelezaji
Programu
Kisw Ahili
Wanafunzi
Utalii Tukilenga
Kikuu
Kabale
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/1647
work_keys_str_mv AT yebareisrael changamotozautekelezajiwaprogramuyakiswahilikwawanafunziwautaliitukilengachuokikuuchakabale