Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
Utafiti huu utashughulikia mada ambayo ni changamoto za utekelezaji wa program Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale. Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. Utafiti huu pia...
Saved in:
Main Author: | |
---|---|
Format: | Thesis |
Language: | en_US |
Published: |
Kabale University
2024
|
Subjects: | |
Online Access: | http://hdl.handle.net/20.500.12493/1647 |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|
Summary: | Utafiti huu utashughulikia mada ambayo ni changamoto za utekelezaji wa program Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale. Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. Utafiti huu pia utaundwa kwa sura tano, yaan1, sura ya kwanza, sura ya pili, sura ya tatu, sura ya nne pamoja na sura ya tano. Sura ya kwanza itahusu usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti, umuhimu wa utafiti pamoja na changamoto zinazoweza kuukabili utafiti huu . Sura ya pili itahusu kazi za watafiti wa awali ambao walifanya utafiti wenye uhusiano na utafiti huu utakaofanywa. Katika sura ya tatu, utafiti huu utashughulikia mbinu zitakazofuatiliwa katika ukusanyaji wa data hadi kukamilisha utafiti huu. Hata hivyo, sura ya tatu itahusu muundo wa utafiti, eneo la utafiti, vifaa vya utafiti, uhakikishaji wa ubora pamoja na uteuzi wa sampuli ya wahojiwa wa utafiti huu. Katika sura ya nne, utafiti huu utashughulikia ukusanyaji wa data, uchambuzi pamoja na uwasilishaji wa data ambazo zitakuwa zimekusanywa kutoka uwanjani. Sura ya mwisho itakuwa ni sura ya tano ambapo katika sura hii, utafiti huu utatoa mhutasari wa utafiti, hitimisho la utafiti pamoja na mapendekezo ya utafiti huu utakaohusu changamoto za utekelezaji wa program ya Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale. |
---|