Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda.

Wilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikal...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Owoyesiga, Nichorus
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1641
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
Description
Summary:Wilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. Wanafunzi wanaosomea huko sasa wanapata maarifa juu ya lugha hii ya Kiswahili. lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza athari ya siasa katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini Uganda, wilayani Kabale.