Mradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’.

Kudhihirisha ubunifu wa kazi za fasihi unaotokana na umilisi wa ujifunzaji wa fasihi bunilizi ya Kiswahili, Kuchangia idadi ya Tamthilia za Kiswahili ambazo zimeandikwa katika mazingira ya Uganda kwa ajili ya kukuza na kuendeleza ujifunzaji, ufundishaji na usomaji wa kazi za fasihi ya Kiswahili Ugan...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Tusasibwe, Bosco
Format: Thesis
Language:en_US
Published: Kabale University 2023
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/1071
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
Description
Summary:Kudhihirisha ubunifu wa kazi za fasihi unaotokana na umilisi wa ujifunzaji wa fasihi bunilizi ya Kiswahili, Kuchangia idadi ya Tamthilia za Kiswahili ambazo zimeandikwa katika mazingira ya Uganda kwa ajili ya kukuza na kuendeleza ujifunzaji, ufundishaji na usomaji wa kazi za fasihi ya Kiswahili Uganda, Kueleza maswala ya kimaisha ya binadamu katika mazingira yake, changamoto na ukombozi wake wa kujenga maisha bora