Athari za Runyankole-Rukiga Katika Uandishi wa Insha Za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili wila yani Kabale.
Kutambua athari za Runyankole- Rukiiga kwenye uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kueleza athari zinazojitokeza katika uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kuelezavyanzo vya athari katika uandishi wa insha na wanafunzi. Utafiti huu ulikuwa unawalenga wanafunzi wa...
Saved in:
Main Author: | |
---|---|
Format: | Thesis |
Language: | en_US |
Published: |
Kabale University
2023
|
Subjects: | |
Online Access: | http://hdl.handle.net/20.500.12493/1006 |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|
Summary: | Kutambua athari za Runyankole- Rukiiga kwenye uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kueleza athari zinazojitokeza katika uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kuelezavyanzo vya athari katika uandishi wa insha na wanafunzi. Utafiti huu ulikuwa unawalenga wanafunzi wa kidato cha nne na sita ambao wanashughulikia uandishi wa insha na walimu wao watatu. Mtafiti alimhoji kila mwanafunzi ambapo moja wao walijua Kiswahili ipasavyo kilichomletea kupata data chache. |
---|